Ukaribisho

profile

Dr. Ligobert W. Kalisa
Mganga Mfawidhi Wa Hospitali

Kwa niaba ya familia ya Hospitali ya Wilaya ya Chato, napenda kuwakaribisha kwenye tovuti yetu na kushiriki nanyi dhamira yetu ya kutoa huduma ya hali ya juu ya afya kwa watu wote Wilayani Chato kwa kuimarisha vifaa na rasilimali zinazopatikana za hospitali kulingana na viwango na Sera