Mgonjwa wa ndani

Idara ya mgonjwa wa ndani ni idara inayohusika na wagonjwa wa ndani kwa maana ya wagonjwa waliolazwa. Inahusika katika kuzuia na kutibu magonjwa ya ndani kwa watu wazima na watoto.

Idara hii pia inatoa huduma za kliniki zifuatazo:-

  1.    Kliniki ya ugonjwa wa presha ya kupanda(Shinikizo la damu)

  2.    Kliniki ya kisukari

  3.    Kliniki ya wagonjwa wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI