Dira na Dhamira

DIRA

Kutoa huduma bora za afya kwa watu wote wilayani Chato kwa kuimarisha vifaa na rasilimali zinazopatikana za hospitali kulingana na viwango na sera.



DHAMIRA

Kutoa huduma bora za afya kwa watu wote wilayani Chato ifikapo 2025