Maabara

Idara ya Maabara ya Hospitali ya Wilaya ya Chato ina jumla ya Watumishi kumi na saba (17) katika kada mbalimbali kama inavyooneshwa kwenye jedwali hapa chini

S/No

KADA

IDADI

1

Lab Scientist

02

2

Lab Technologist

04

3

Lab Assistant

07

4

Medical attendant

04


Pia Idara ya Maabara  ya Hospitali ya Wilaya ya Chato ina jumla ya vitengo saba navyo ni;

  • RECEPTION
  • PARASITOLOGY
  • SEROLOGY
  • HEMATOLOGY
  • BLOOD TRANSFUSION
  • CLINICAL CHEMISTRY
  • MICROBIOLOGY AND MOLECULAR BIOLOGY         

1. RECEPTION (MAPOKEZI)

Maabara ya Hospitali ya Wilaya ya Chato kwa wastani inapokea wateja/wagonjwa 120 kwa siku kwa ajili ya vipimo mbalimbali.

2. PARASITOLOGY

Katika Kitengo hiki, huduma zitolewazo ni kama vile;

  • Stool analysis
  • Urine analysis
  • Malaria rapid diagnostic test (MRDT)
  • Blood smear

3. SEROLOGY

Huduma zitolewazo katika Kitengo hiki ni kama vile;

  • Hepatitis B Virus
  • Hepatitis C Virus
  • Syphilis (Kaswende)
  • Cryptococal antigen
  • Widal test (Typhoid test)

4. HEMATOLOGY

Kitengo hiki kinatoa huduma zifuatazo;

  • Full Blood Picture
  • Sickling test (Seli mundu)
  • Hb (Wingi wa damu)
  • Blood grouping (Aina ya kundi la damu)
  • E.S.R

5. BLOOD TRANSFUSION

  • Huduma zitolewazo katika kitengo hiki ni;
  • Blood grouping
  • Crossmatching
  • Donation

6. CLINICAL CHEMISTRY

Katika kitengo hiki huduma zifuatazo hutolewa;

  • ALAT/ ASAT
  • CREATININE
  • URIC ACID
  • CHOLESTERAL
  • ELECTROLYTES
  • BLOOD UREA NITROGEN (BUN)
  • CALCIUM
  • MAGNESIUM
  • INORGANIC PHOSPHATE
  • TOTAL PROTEIN
  • SERUM GLUCOSE
  • BLOOD GLUCOSE
  • URINALYSIS

 7. MICROBIOLOGY AND MOLECULAR BIOLOGY

Huduma zinazopatikana katika kitengo hiki ni kama zifuatazo;

  • Upimaji wa TB
  • Upimaji wa Viral Load
  • Upimaji wa DBS
  • Upimaji wa CD4