UTUNZAJI SAHIHI NA SALAMA WA DAWA - Mh. UMMY MWALIMU

Posted on: September 18th, 2019

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu  amefanya ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Chato na kukagua duka la dawa.