Afya yako ni Mtaji wako

Hospitali ya Wilaya ya Chato inatoa huduma za vipimo mbalimbali. Vipimo vya Ini, Figo, Moyo, Homa ya Ini ( Hepatitis vaccines). 

Bima ya NHIF inaruhusu kupata huduma hizi.

- 04 October 2019