AFYA CHECK CHATO

Je, unamaumivu Sugu? Unajua chanzo chake?

Fika Hospitali ya Wilaya ya Chato siku ya tarehe 14/10/2019 ukutane na wataalam wa Fiziotherapia

Gharama: Bure, 

Wenye kadi za Bima, fika na kadi yako ya matibabu.      

                          


MAANA YA MAUMIVU SUGU.pdf

MAUMIVU SUGU NA MAZOEZI.pdf

KUDHIBITI MAUMIVU SUGU.pdf


- 07 October 2019